emblem

Kilimanjaro International Airport
KADCO

News

HONGERA HIFADHI YA TAIFA SERENGETI


Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya KADCO inaipongeza Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) na Watanzania wote kwa kuipigia kura na kuiwezesha hifadhi ya Serengeti kutwaa tuzo ya Hifadhi bora Afrika kwa mara ya pili mfululizo 2019 na 2020.